Navigation
 Portal
 Index
 Memberlist
 Profile
 FAQ
 Search
August 2017
MonTueWedThuFriSatSun
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28293031   

Calendar Calendar

Statistics
We have 896 registered users
The newest registered user is saritahB

Our users have posted a total of 1214 messages in 340 subjects
Who is online?
In total there are 5 users online :: 0 Registered, 0 Hidden and 5 Guests :: 2 Bots

None

[ View the whole list ]


Most users ever online was 33 on Wed Jan 25, 2017 6:48 pm

procurement contract

View previous topic View next topic Go down

Re: procurement contract

Post  GWK on Fri Apr 17, 2015 2:16 pm

lupakisyo mwaisela wrote:hivi nataka kujua endapo afisa ugavi ukasaini mkataba pasipo kujua kuwa umekiuka sheria ya manunuzi je ppra au huwa huchukuliwa adhabu gani?
Lupakisyo, Kutojua si kinga! Huyu ni Afisa Ugavi kweli?. Kama hajui kwamba haruhusiwi kusaini mkataba (Labda awe na kibali cha kusaini kwa niaba ya AO) atawezaje kuendesha shughuli nyingine za ununuzi/ugavi ambazo zina utaratibu ambao unatakiwa kufuatwa? Namshauri AO wa PE amsaidie kwa kumpeleka kwenye mafunzo huyo jamaa haraka sana na atafute mtu wa kumsaidia hadi atakapohakikisha kwamba amejua sheria na taratibu zote za manunuzi.

GWK

Posts : 51
Join date : 2014-03-24
Age : 50
Location : DAR ES SALAAM

View user profile

Back to top Go down

Procurement Contract

Post  uwezo on Thu Apr 16, 2015 12:14 am

Hello Thanksme,
Please would you distinguish "Authority" from legal capacity? At risk of my low understanding. Authority gives some one legal capacity to act. So in your case, HPMU has no authority to sign procurement contract on behalf of the PE. Now, the arising question is that, a contract signed by unauthorized/illegal party is binding? I submit before experienced lawyer to conclude it. However, it is in my ideal that such contract is not valid

uwezo

Posts : 15
Join date : 2012-07-24

View user profile

Back to top Go down

Re: procurement contract

Post  thanksme on Tue Mar 31, 2015 7:30 pm

Afisa Ugavi haruhusiwi kusaini mkataba, bali Afisa masuuli (AO) ndiye mwenye dhamana ya kusaini mikataba kuwakilisha PE.
avatar
thanksme

Posts : 18
Join date : 2012-04-18
Age : 37
Location : Dar Es Salaam

View user profile

Back to top Go down

procurement contract

Post  lupakisyo mwaisela on Tue Mar 31, 2015 2:48 am

hivi nataka kujua endapo afisa ugavi ukasaini mkataba pasipo kujua kuwa umekiuka sheria ya manunuzi je ppra au huwa huchukuliwa adhabu gani?

lupakisyo mwaisela

Posts : 1
Join date : 2015-03-31

View user profile

Back to top Go down

View previous topic View next topic Back to top

- Similar topics

 
Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum