Navigation
 Portal
 Index
 Memberlist
 Profile
 FAQ
 Search
May 2018
MonTueWedThuFriSatSun
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28293031   

Calendar Calendar

Statistics
We have 938 registered users
The newest registered user is castor

Our users have posted a total of 1228 messages in 345 subjects
Who is online?
In total there are 3 users online :: 0 Registered, 0 Hidden and 3 Guests

None

[ View the whole list ]


Most users ever online was 37 on Mon Sep 04, 2017 5:41 pm

Kwa nini Bei za Wazabuni zitofautiane na Mikataba walioingia na GPSA?

Go down

Re: Kwa nini Bei za Wazabuni zitofautiane na Mikataba walioingia na GPSA?

Post  JAY JAY on Mon Mar 02, 2015 9:58 pm

thanksme wrote:Inapotokea uhijaji wa huduma mtambuka (CUIs) taasisi nunuzi zinapaswa kutumia wazabuni waliopitishwa na GPSA kwakufuata bei za GPSA hii haiitaji wazabuni watatu, lakini wakati mwingine unaweza kuamua kutumia min competition uka-invite wazabuni watatu au zaidi, ambapo mzabuni anawea ku-quote bei ya chini kidogo na ile iliyo kwenye mkataba, hii ni kutokana na ushindani.
Asante kwa mchango,kwa jinsi ulivyoeleza tuseme hali ni tofauti kabisa huku LGAs,kwa maana bei zinazokuwa quoted kwenye competative quotations ni kubwa zaidi ya bei zilizo kwenye mikataba ya GPSA!yani ni kinyume ya ulichofafanua(mzabuni anawea ku-quote bei ya chini kidogo na ile iliyo kwenye mkataba, hii ni kutokana na ushindani)!kuna argument kwamba wanachelewa kulipa hivyo wazabuni wanazidisha bei ili kufidia uchelewashi wa malipo

JAY JAY

Posts : 5
Join date : 2014-05-09

View user profile

Back to top Go down

Re: Kwa nini Bei za Wazabuni zitofautiane na Mikataba walioingia na GPSA?

Post  thanksme on Sat Feb 28, 2015 7:44 pm

Inapotokea uhijaji wa huduma mtambuka (CUIs) taasisi nunuzi zinapaswa kutumia wazabuni waliopitishwa na GPSA kwakufuata bei za GPSA hii haiitaji wazabuni watatu, lakini wakati mwingine unaweza kuamua kutumia min competition uka-invite wazabuni watatu au zaidi, ambapo mzabuni anawea ku-quote bei ya chini kidogo na ile iliyo kwenye mkataba, hii ni kutokana na ushindani.
avatar
thanksme

Posts : 18
Join date : 2012-04-18
Age : 38
Location : Dar Es Salaam

View user profile

Back to top Go down

Kwa nini Bei za Wazabuni zitofautiane na Mikataba walioingia na GPSA?

Post  JAY JAY on Fri Feb 27, 2015 3:17 am

Wataalam naomba kupewa ufafauzi kisheria. Ni dhahiri kwamba ''rushwa za ghafla'' ni kwenye manunuzi ya kila siku. Kama utaratibu umewekwa, kwamba ni lazima kila mzabuni awe amepitishwa na GPSA, mikataba yenye bei za ''items'' zinaainishwa. Sasa iweje bei zitofautiane na bei za kwenye mikataba? Vile vile kuna hoja ya bei zinatochajiwa taasisi za erikali kuwa tofauti na bei anayochajiwa mtu binafsi, kuna argument kwamba taasisi za serikali huchukua mzigo on credit hivyo mzabuni analazimika kufanya ''compensation''. Sheria zinasemaje?

JAY JAY

Posts : 5
Join date : 2014-05-09

View user profile

Back to top Go down

Back to top

- Similar topics

 
Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum