Navigation
 Portal
 Index
 Memberlist
 Profile
 FAQ
 Search
August 2017
MonTueWedThuFriSatSun
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28293031   

Calendar Calendar

Statistics
We have 896 registered users
The newest registered user is saritahB

Our users have posted a total of 1214 messages in 340 subjects
Who is online?
In total there are 5 users online :: 0 Registered, 0 Hidden and 5 Guests

None

[ View the whole list ]


Most users ever online was 33 on Wed Jan 25, 2017 6:48 pm

Halmashauri zina matatizo gani na wazabuni walio kwenye VAT

View previous topic View next topic Go down

Halmashauri zina matatizo gani na wazabuni walio kwenye VAT

Post  GWK on Fri Feb 06, 2015 1:04 pm

Yusuph
Naona usijumuishe Halmashauri zote kwamba zina matatizo hayo. Kwa tafsiri yangu ulitakiwa kufuata taratibu za kutoridhika na maamuzi yaliyofanywa dhidi yako kama yalivyoelekezwa kwenye ITT. Nimeangalia ITT clause 15.3 (small works) na ITT clause 14.3 (medium & large works) kwa pamoja zinasema "All taxes and other levies paid by contractor under the contract ..............shall be included in the rates, prices and total tender prices submitted by the tenderer". Mara nyingi nimeona kodi ya ongezeko la thamani ikikokotolewa baada ya jumla kama ulivyofanya.

Vilevile jaribu kukagua hesabu zako uone kama ulikokotoa (rates)/bei yako vizuri na kama uliondoa VAT kwenye bei ya vifaa kama bati, siment nk. na hivyo ulivyokokotoa kwenye jumla bei yako ikawa kubwa. Kwa mfano, Kifaa kinauzwa duka la jumla 1,000,000+18% =1,180,000. Ukinunua kifaa hiki kwa ajili ya kuuza kwa rejareja na ukafanya (1,180,000 x %faida)+((1,180,000x%faida)x18%) unakuwa umeuza bei ya juu sana. Kama faida yako ni 20% ungeuza sh 1,670,880/=. Nadhani watu wengi huwa tunasahau na bei zetu kuwa kubwa kuliko inavyostahili. Na kwa kweli elimu ya kukokotoa na kutengeneza rate shindani ni muhimu sana.

GWK

Posts : 51
Join date : 2014-03-24
Age : 50
Location : DAR ES SALAAM

View user profile

Back to top Go down

View previous topic View next topic Back to top


 
Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum