Navigation
 Portal
 Index
 Memberlist
 Profile
 FAQ
 Search
December 2018
MonTueWedThuFriSatSun
     12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930
31      

Calendar Calendar

Statistics
We have 956 registered users
The newest registered user is makoka tailors

Our users have posted a total of 1231 messages in 347 subjects
Who is online?
In total there is 1 user online :: 0 Registered, 0 Hidden and 1 Guest :: 2 Bots

None

[ View the whole list ]


Most users ever online was 49 on Fri Jul 06, 2018 7:06 am

HALMASHAURI ZINA MATATIZO GANI NA WAZABUNI WALIO KWENYE VAT?

Go down

Re: HALMASHAURI ZINA MATATIZO GANI NA WAZABUNI WALIO KWENYE VAT?

Post  GWK on Thu May 21, 2015 9:57 pm

RJM

Nashukuru kwa ufafanuzi mwanana. Ufafanuzi wako una manufaa makubwa kwa jamii hususan inayojihusisha na manunuzi. Tuache mazoea na tusome kwa makini makabrasha ya zabuni na kutekeleza yaliyoainishwa kikamilifu ili tusione tunaonewa pindi taratibu zinapofuatwa.

GWK

Posts : 54
Join date : 2014-03-24
Age : 51
Location : DAR ES SALAAM

View user profile

Back to top Go down

Re: HALMASHAURI ZINA MATATIZO GANI NA WAZABUNI WALIO KWENYE VAT?

Post  RJM on Mon Mar 30, 2015 1:56 am

Yusuf & GWK

Hapa chini kifungu kinachohusu "all duties, taxes and other levies" - Standard Bidding Documents - Small-Works

15.3 All duties, taxes and other levies payable by the Contractor under the Contract, or for any other cause, as of the date 15 days prior to the deadline for submission of Tenders, shall be included in the rates, prices and total Tender price submitted by the Tenderer.

Yusuf nadhani wewe ni Mkandarasi kwa sababu "niliosa kazi" na GWK ni tajiri (kwenye kutangaza kazi)

Nadhani tatizo ni kwamba 18% ya VAT iwekwe wapi? Kwenye "rate build-up" au "sub-total kwenye BoQ".

Kwa Wakandarasi kama BoQ haina mstari wa "Add VAT 18%" basi kwenye "rate buid-up" yako ongeza "VAT 18%" kwa sababu kutokana na ITB 15.3 utatakiwa kulipa VAT 18%. Kama BoQ inaonyesha "Add VAT 18%" hakuna haja ya kuongeza kwenye "rate build-up" zaidi ya kuongeza kwenye BoQ.

Ushauri wangu soma vizuri "Kabrasha la Sabuni".

avatar
RJM

Posts : 258
Join date : 2009-07-30
Age : 68
Location : What is written without effort is in general read without pleasure

View user profile

Back to top Go down

AU NI MAELEKEZO YA TAMISEMI KUHUSU VAT HAYAJAELEWEKA

Post  YUSUPH MARARE on Mon Jan 26, 2015 5:49 am

Ndg yangu GWK,ulivyoeleza ndivyo nijuavyo na mara zote baada ya kupata jumla ktk BOQ,kwa jumla hiyo ninatafuta VAT yake kisha nina add na jumla yake inakwenda kwenye form of tender.kuna mahala niliosa kazi nilipokwenda kuuliza nikaambiwa sababu ni VAT,pengine nililetewa barua ya correction kukuta ni VAT,pengine nimeambiwa VAT nilipaswa kuijengea ndani ya rate,nikaambiwa nirejee kwenye INSTRUCTION TO BIDDERS Nisome kipengele kinachoanza kwa kusema ALL TAXES,LEVIES...............Sasa nimebaki najiuliza tatizo hili linatokea TAMISEMI kwani TANROADS sijawahi kutana nalo!

YUSUPH MARARE

Posts : 2
Join date : 2015-01-15

View user profile

Back to top Go down

Re: HALMASHAURI ZINA MATATIZO GANI NA WAZABUNI WALIO KWENYE VAT?

Post  GWK on Thu Jan 22, 2015 6:30 pm

Yusuph,

Naomba ufafanuzi zaidi kuhusu yaliyokusibu. Kwani suala la VAT ni la kisheria na kuna maelekezo kwa baadhi ya bidhaa ambazo hazitozwi VAT kama sheria ya VAT; VALUE ADDED TAX ACT CAP 148 - 2006 R.E Kifungu cha 10 na nyongeza ya pili ilivyoorodhesha. Sioni kama kuna tatizo kama umeweka wazi hiyo asilimia 18 ya VAT kwani kama ni bidhaa ambazo hazitozwi VAT wanaweza kuiondoa kirahisi. Tatizo litakuwa kama hiyo asilimia 18 unakuwa umeiweka kwenye "rates" hawatajua na ni vigumu kupunguza rate ya mzabuni.

Kama nilivyoonyesha awali VAT ni suala la kisheria na hata kanuni za ununuzi za 2013 zimeelekeza hivyo. Nyongeza ya 18 sehemu ya kwanza na ya pili zote zinaonyesha umuhimu wa VAT.

Nasubiri ufafanuzi wako mkuu

GWK

Posts : 54
Join date : 2014-03-24
Age : 51
Location : DAR ES SALAAM

View user profile

Back to top Go down

HALMASHAURI ZINA MATATIZO GANI NA WAZABUNI WALIO KWENYE VAT?

Post  YUSUPH MARARE on Thu Jan 15, 2015 3:59 am

Naomba ufafanuzi kuhusu sheria za manunuzi kwenye suala la VAT,baada ya kujaza BOQ,na kuongeza aslimia 18 ya VAT,HALMASSHAURI NYINGI imekuwa ni km jambo geni kwao,na hupelekea hata kukosa kazi,tatizo ni nini?

YUSUPH MARARE

Posts : 2
Join date : 2015-01-15

View user profile

Back to top Go down

Re: HALMASHAURI ZINA MATATIZO GANI NA WAZABUNI WALIO KWENYE VAT?

Post  Sponsored content


Sponsored content


Back to top Go down

Back to top


 
Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum