Navigation
 Portal
 Index
 Memberlist
 Profile
 FAQ
 Search
January 2019
MonTueWedThuFriSatSun
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28293031   

Calendar Calendar

Statistics
We have 959 registered users
The newest registered user is Mfaume.Bodde

Our users have posted a total of 1232 messages in 347 subjects
Who is online?
In total there are 4 users online :: 0 Registered, 0 Hidden and 4 Guests

None

[ View the whole list ]


Most users ever online was 49 on Fri Jul 06, 2018 7:06 am

KILIO KWA WATAALAMU WA MANUNUZI WA HALMASHAURI NCHINI

Go down

tunaomba wenzetu wa ukerewe watupe siri ya mafanikio ili wengine tuige

Post  abuu intiswaar on Tue Jan 06, 2015 2:41 pm

freddy.mbeyella wrote:Wadau,
Jamani Ukerewe Distict Council wameibuka kidedea katika ukaguzi wa 2013/2014 kwa LGAs. Hongera Sana. Walipata 80% na kuzawadiwa na Mkurugenzi Mkuu wa PPRA kwenye mkutano wa wanunuzi wa Afrika Mashariki uliofanyika Nairobi Novemba mwaka huu.  Soma katika PPRA website na Procurement Journal kwa maelezo zaidi.

Hii inadhihirisha kuwa inawekezekana kufanya vizuri. Ukerewe District Council mpo? Tupe siri ya mafanikio!

abuu intiswaar

Posts : 1
Join date : 2015-01-06

View user profile

Back to top Go down

Re: KILIO KWA WATAALAMU WA MANUNUZI WA HALMASHAURI NCHINI

Post  GWK on Fri Dec 12, 2014 4:33 pm

Wadau

Kumbe taasisi nunuzi zilizofanya vizuri (which scored above target compliance level of 72 points) ni 19 tu kati ya 168 zilizokaguliwa!!!! Exclamation
Kati ya taasisi hizo zilizofanya vizuri; Mamlaka za Serikali za Mitaa ni nne Ukerewe DC (80), Temeke MC (79), Dodoma MC (76), Ilala MC (72). Hongereni sana tunaomba siri ya mafanikio yenu ili tujifunze na kufanyia kazi. Asanteni

GWK

Posts : 54
Join date : 2014-03-24
Age : 51
Location : DAR ES SALAAM

View user profile

Back to top Go down

KILIO KWA WATAALAMU WA MANUNUZI WA HALMASHAURI NCHINI

Post  freddy.mbeyella on Mon Dec 08, 2014 2:03 pm

Wadau,
Jamani Ukerewe Distict Council wameibuka kidedea katika ukaguzi wa 2013/2014 kwa LGAs. Hongera Sana. Walipata 80% na kuzawadiwa na Mkurugenzi Mkuu wa PPRA kwenye mkutano wa wanunuzi wa Afrika Mashariki uliofanyika Nairobi Novemba mwaka huu. Soma katika PPRA website na Procurement Journal kwa maelezo zaidi.

Hii inadhihirisha kuwa inawekezekana kufanya vizuri. Ukerewe District Council mpo? Tupe siri ya mafanikio!

freddy.mbeyella

Posts : 74
Join date : 2009-08-25

View user profile

Back to top Go down

KILIO KWA WATAALAMU WA MANUNUZI WA HALMASHAURI NCHINI

Post  freddy.mbeyella on Mon Oct 27, 2014 9:34 pm


Nadhani wenzetu waliopo katika Halmashauri wangetusaidia kutupa changamoto wanazokabilaina nazo. Mimi naamini kuna mambo yaliopo ndani ya uwezo wao na mengine yapo nje. Ingawa mambo ulioanisha yanaonekana kama ni mapungufu ya kitaalamu na yanaweza kurekebishwa kwa njia mbali mbali ikiwa pamoja na jukwa hili.

freddy.mbeyella

Posts : 74
Join date : 2009-08-25

View user profile

Back to top Go down

Re: KILIO KWA WATAALAMU WA MANUNUZI WA HALMASHAURI NCHINI

Post  GWK on Mon Aug 25, 2014 8:22 pm

Wadau wa Procurement forum,

Naomba mawazo yenu kuhusu mada hii. Tukiainisha na kusema kwa pamoja (wataalam waliopo Halmashauri na tuliopo nje ya Halmashauri) matatizo yaliyopo itasaidia Serikali kurekebisha na hivyo wenzetu kufanya kazi kwa ufanisi zaidi.

Tafadhali toeni michango yenu

GWK

Posts : 54
Join date : 2014-03-24
Age : 51
Location : DAR ES SALAAM

View user profile

Back to top Go down

KILIO KWA WATAALAMU WA MANUNUZI WA HALMASHAURI NCHINI

Post  GWK on Thu Jun 05, 2014 6:50 pm

Wadau wote wa procurement forum,

Ninesoma kwa masikitiko makubwa sura ya saba (7) ya taarifa ya Mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali kwa mwaka 2012/2013. Kwa upande wa ukaguzi wa hesabu za Mamlaka za Serikali za Mitaa. Taarifa hiyo inabainisha kuwa hali ya uzingatiaji wa Sheria na Kanuni za manunuzi siyo ya kuridhisha. Baadhi ya mapungufu yaliyoorodheshwa yanaonyesha wataalam wetu wa manunuzi mliopata nafasi ya kuhudumia sekta hii ya umma mnatuangusha kwani mapungufu hayo sio ya kufanywa na mtaalamu mweledi bila kuwa na dhamiri ya kipato cha aibu ndani yake. (samahani nimehukumu kutokana na uchungu nilionao). Mapungufu ni;

 • Manunuzi ya bidhaa na vifaa visivyoingizwa kwenye leja
  Bidhaa zilizolipiwa lakini hazikupokelewa
  Kufanya manunuzi yasiyoidhinishwa na Bodi ya Zabuni vilevile kuongeza kazi bila idhini stahili
  Wazabuni kupewa kazi bila tangazo kwa umma
  Upungufu mkubwa wa utunzaji kumbukumbu muhimu za mikataba na miradi
  Kutoa zabuni isiyozingatia maoni ya kamati ya Tathmini
  Kufanya manunuzi kabla ya kuidhinishwa kwa LPO
  Manunuzi yasiyo kwenye mpango
  Manunuzi kupitia masurufu


Taarifa inaonyesha kwamba kiwango cha kutofuata sheria kimepanda kwa 79.7% ikilinganishwa na mwaka 2011/2012. Hii hali ni mbaya.

Naomba muwe makini wataalamu wetu. Mfanyeni kazi kwa kujiamini na msikubaliane na mashinikizo ya kuvunja sheria ambayo baadae mnaonekana nyie ndio hamshauri ipasavyo. Unashindwaje kutofautiana na Bodi kama inatoa zabuni kwa mkandarasi ambaye hana sifa? (Namshukuru HPMU wa Halmashauri ya Kyela aliyetofautiana na Bodi pamoja na AO kuhusu uteuzi wa mzabuni ya ujenzi wa daraja. Baada ya review ya PPRA akaibuka kidedea - HONGERA SANA).

Ninaomba wadau msome taarifa hiyo kwenye website ya CAG na mchangie ili tufikie kupendekeza hatua za kuondokana na utendaji huu usioridhisha.

GWK

Posts : 54
Join date : 2014-03-24
Age : 51
Location : DAR ES SALAAM

View user profile

Back to top Go down

Re: KILIO KWA WATAALAMU WA MANUNUZI WA HALMASHAURI NCHINI

Post  Sponsored content


Sponsored content


Back to top Go down

Back to top


 
Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum