Navigation
 Portal
 Index
 Memberlist
 Profile
 FAQ
 Search
December 2018
MonTueWedThuFriSatSun
     12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930
31      

Calendar Calendar

Statistics
We have 956 registered users
The newest registered user is makoka tailors

Our users have posted a total of 1231 messages in 347 subjects
Who is online?
In total there are 4 users online :: 0 Registered, 0 Hidden and 4 Guests :: 1 Bot

None

[ View the whole list ]


Most users ever online was 49 on Fri Jul 06, 2018 7:06 am

swahili version ya new procurement act

Go down

Re: swahili version ya new procurement act

Post  GWK on Sat May 24, 2014 7:44 pm

muta wrote:Nimekutana na balaa moja la kushindwa kupata maneno haya kwa lugha ya kiswahili katika kuanda ripoti.kwa yeyote anayeweza kunisaidia maneno haya kwa Kiswahili ni haya:
1. consultancy works
2. non consultancy works
Nitashukuru sana ili niweze kumalizia ripoti yangu kwa muda.

MUTA/
Naungana na title yako (swahili vesion ya new procurement Act). Ni kweli kwa mazingira ya Nchi yetu ni vema sheria, kanuni, miongozo ya manunizi ikatafsiriwa kwa Kiswahili kwa sababu ni zinayohusu ununuzi kwa ajili ya Umma. Umma wa Tanzania unauelewa wa kiswahili wa kutosha na uwezo wa kiingereza ni mdogo. (Ndivyo ninavyoamini) Watanzania wanaoelewa Kiingereza kuliko kiswahili ni wachache mno (chini ya 10%).

Nimepitia kamusi ya TUKI na kuona
Consult - Taka shauri, shauri, elekeza
Consultant - Mshauri, Mwelekezi bingwa.
Non - si, sio, tokuwa.

Kwa kuzingatia maneno ya hapo juu, naweza kusema;
1. Consultancy works - Kazi za mshauri/mwelekezi
2. Non-consultancy works - Kazi siokuwa ya ushauri.

Wadau natoa ushauri kwa wahusika wapeleke nyaraka zote za manunuzi BAKITA zitafsiriwe kwa lugha ya kiswahili ili kuboresha uelewa wa wadau wote katika manunuzi ya umma. Ukiukwaji wa taratibu utapungua sana.

GWK

Posts : 54
Join date : 2014-03-24
Age : 51
Location : DAR ES SALAAM

View user profile

Back to top Go down

swahili version ya new procurement act

Post  muta on Fri May 16, 2014 6:14 pm

Nimekutana na balaa moja la kushindwa kupata maneno haya kwa lugha ya kiswahili katika kuanda ripoti.kwa yeyote anayeweza kunisaidia maneno haya kwa Kiswahili ni haya:
1. consultancy works
2. non consultancy works
Nitashukuru sana ili niweze kumalizia ripoti yangu kwa muda.

muta

Posts : 1
Join date : 2014-05-16

View user profile

Back to top Go down

Back to top

- Similar topics

 
Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum