Navigation
 Portal
 Index
 Memberlist
 Profile
 FAQ
 Search
December 2018
MonTueWedThuFriSatSun
     12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930
31      

Calendar Calendar

Statistics
We have 956 registered users
The newest registered user is makoka tailors

Our users have posted a total of 1231 messages in 347 subjects
Who is online?
In total there are 3 users online :: 0 Registered, 0 Hidden and 3 Guests :: 1 Bot

None

[ View the whole list ]


Most users ever online was 49 on Fri Jul 06, 2018 7:06 am

BOQ in Road Maintanance

Go down

Re: BOQ in Road Maintanance

Post  GWK on Thu May 15, 2014 5:06 pm

JAY JAY wrote:Hodi wataalam!!niwape hongera kwa darasa mnalolitoa ktk forum.Nina jambo moja nahitaji kujua,kisheria,ktk BOQ ni nini mahusiano kati ya Urefu wa barabara na gharama za barabara.Nauliza kwa kuwa kunatokea case kuwa Contract inasema say 7km,contract sum say  63m,lakini uhakika wa kazi inaweza kuwa ni 5km tu.Naomba kuwasilisha

JAY JAY
Katika utayarishaji wa Bills of Quantities (BoQ) kuna column ya maelezo ya kazi, inafuatia column inayoelekeza kazi hiyo itafanywaje kama ilivyofafanuliwa kwa kina katika maelezo ya ubora wa kazi kwa mujibu wa mkataba huo "Specifications", kisha column ya kipimo cha kazi husika "Unit" halafu idadi yaani "Quantity" kisha "Rate" na Amount.

Amount = quantity x rate. Kwa maana hiyo kazi za matengenezo ya barabara ni nyingi na zinatumia unit mbalimbali kama km, m, mita za mraba, mita za ujazo, lita, uzito kama kg, tonne n.k. Kwa maana hiyo kila kazi inapimwa kulingana na unit yake. Kwa mfano kama BoQ inaonyesha kuchonga barabara "light/heavy grading" kilometa kadhaa, hizo inatakiwa barabara hiyo ichongwe kwa urefu huo. Kama ilikuwa kuweka changarawe mita za ujazo kadhaa = (Upana wa barabara x Kina cha changarawe zilizoshindiliwa x urefu wa kuwekwa changarawe) inatakiwa ifikiwe.

Mara nyingine huwa inatokea kazi kuchelewa kuanza kutokana na upatikanaji wa fedha hivyo kukuta kazi nyingine zimeongezeka na hivyo kufanyika kwa re scoping ya hadi 15% ya Contract sum kama msimamizi wa kazi kwa niaba ya mwenye kazi atakavyoamua 'but with due diligence' (angalia PPRA General Conditions Contract for small works clause 5 & 41). Kwa hiyo inahitakika uwe unaujua mkataba na usome mwenendo mzima wa utekelezaji wake.

Nadhani nitakuwa nimesaidia kuona muunganiko wa BoQ na kazi site inavyokuwa. kama una maswali mengine karibu wadau wa forum wako imara

GWK

Posts : 54
Join date : 2014-03-24
Age : 51
Location : DAR ES SALAAM

View user profile

Back to top Go down

BOQ in Road Maintanance

Post  JAY JAY on Sat May 10, 2014 1:02 am

Hodi wataalam!!niwape hongera kwa darasa mnalolitoa ktk forum.Nina jambo moja nahitaji kujua,kisheria,ktk BOQ ni nini mahusiano kati ya Urefu wa barabara na gharama za barabara.Nauliza kwa kuwa kunatokea case kuwa Contract inasema say 7km,contract sum say 63m,lakini uhakika wa kazi inaweza kuwa ni 5km tu.Naomba kuwasilisha

JAY JAY

Posts : 6
Join date : 2014-05-09

View user profile

Back to top Go down

Back to top

- Similar topics

 
Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum