Navigation
 Portal
 Index
 Memberlist
 Profile
 FAQ
 Search
January 2019
MonTueWedThuFriSatSun
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28293031   

Calendar Calendar

Statistics
We have 959 registered users
The newest registered user is Mfaume.Bodde

Our users have posted a total of 1232 messages in 347 subjects
Who is online?
In total there are 6 users online :: 0 Registered, 0 Hidden and 6 Guests

None

[ View the whole list ]


Most users ever online was 49 on Fri Jul 06, 2018 7:06 am

PRE- TENDER MEETING- Naombeni mawazo yenu ya maelekezo

Go down

Re: PRE- TENDER MEETING- Naombeni mawazo yenu ya maelekezo

Post  GWK on Fri May 09, 2014 5:15 pm

Mr.Zubeir H. Zubeir wrote:tumetangaza kwa ajili ya kufanya "construction proposal" ya tawi moja la wizara huku zanzibar. Wizara tumefanya 'site visit"na Pre- Tender meeting kwa ajili ya kufafanua na kueka sawa mambo pamoja na kujibu maswali yanayhusu ujenzi ule yanayoweza kutokea katika hatua hii ya tenda.
wakati wa kufanya "site visit"na "pre tender meeting" mzabuni mmoja alikuja na suala juu ya namn gani tenda itafanyiwa evaluation"how tender will be evaluated"
suali:
1)mimi nikiwa kama mtu wa PMU ambae nimehudhuria ktk kikao,nini nishauri wakati wa kufanya site visiting?
2)niwafanyeje wale wazabuni ambao hawakuhudhuria ktk site visit wala pre tender meeting ambao hawatoookua na uwezo wa kuwa aware juu ya isssue?
nawasilisha mada kwenu kwa mawazo zaidi  

Pamoja na majibu mazuri yaliyotolewa naona kuna jambo katika bidding document yako ambalo mmojawapo wa washauri ameliona na ndio akafikia kuuliza mtakavyofanya tathmini kulingana na hali halisi aliyoiona site na yaliyomo kwenye RFP/ToR. Nashauri ueleze mshauri huyu swali lake liliegemea wapi ili wadau wachambue kwa ajili ya utendaji wa baadae kwani nadhani zabuni uliyokuwa unaulizia itakuwa imekamilika.

Site meetings zinasaidia sana ambapo mara nyingine inafikia kurekebisha baadhi ya mambo kwa ajili ya kuboresha utendaji na matokeo ya mradi. Mfano soma Procurement Journal no 18 of Tuesday May 6, 2014 pg4. Utaona Taasisi ilivyoamua kuongeza muda wa uwasilishaji baada ya kupata maoni/maswali toka kwa mshauri mmojawapo, katafakari maoni hayo na ikaonekena yatasidia utekelezaji wa mkataba.

Nasubiri kusoma base ya swali la mshauri ndugu yangu

GWK

Posts : 54
Join date : 2014-03-24
Age : 51
Location : DAR ES SALAAM

View user profile

Back to top Go down

Re: PRE- TENDER MEETING- Naombeni mawazo yenu ya maelekezo

Post  id2013 on Thu Feb 27, 2014 10:30 pm

Zuberi!
Zingatia yafuatyo;-
-Site visit au Pre-Bid meeting sio kikao cha kupanga mufmo wa kufanya uchambuzi wa zabuni. Wenye kufanya uchambuzi ni Kamati ya uchambuzi ambayo inatambulika kisheria na hata hivyoi kamati hiyo inafanya uchambuzi kwa kufuata vigezo linganifu ambavyo tu viliwekwa kwa bidding document na si vinginevyo
-Site visiti lengo lake sio kuzungumzia jinsi yeyote ya procurement process. Kazi yake ni kufafanua masuala yote yanyohusu tender hiyo hasa kwenye muanisho wa mahitaji kama kwa namna moja au nyingine yameleta utata kwa wazabuni. Pili kutoa ufafanuzi kuhusu uelewa zaidi wa mradi husika kwa wazabuni ili uwasaidie katika uandaaji wao wa maombi husika ya zabuni.
-Mara baada ya kikao hicho PMU andaa minutes za kikao hicho na yaliyojili kwenye kikao na watumie wote walioshiriki na wasioshiriki kwa kuwa mawasiliano yao unayo. Hii inakuwezesha kutoa taarifa sawa kwa wote walioshirki kwenye zabuni hiyo.
-PMU na yeyote yule hata kama wajumbe wa Bodi ya zabuni wangekuwepo pale hawana mamlaka tena ya kupanga jinsi gani uchambuzi wa zabuni ufanyike.

Nawasilisha!

id2013

Posts : 50
Join date : 2013-07-17

View user profile

Back to top Go down

PRE- TENDER MEETING- Naombeni mawazo yenu ya maelekezo

Post  Mr.Zubeir H. Zubeir on Sun Feb 16, 2014 2:23 pm

tumetangaza kwa ajili ya kufanya "construction proposal" ya tawi moja la wizara huku zanzibar. Wizara tumefanya 'site visit"na Pre- Tender meeting kwa ajili ya kufafanua na kueka sawa mambo pamoja na kujibu maswali yanayhusu ujenzi ule yanayoweza kutokea katika hatua hii ya tenda.
wakati wa kufanya "site visit"na "pre tender meeting" mzabuni mmoja alikuja na suala juu ya namn gani tenda itafanyiwa evaluation"how tender will be evaluated".
suali:
1)mimi nikiwa kama mtu wa PMU ambae nimehudhuria ktk kikao,nini nishauri wakati wa kufanya site visiting?
2)niwafanyeje wale wazabuni ambao hawakuhudhuria ktk site visit wala pre tender meeting ambao hawatoookua na uwezo wa kuwa aware juu ya isssue?
nawasilisha mada kwenu kwa mawazo zaidi

Mr.Zubeir H. Zubeir

Posts : 12
Join date : 2013-07-22
Age : 33
Location : Zanzibar

View user profile http://www.zubeironline.blogspot.com

Back to top Go down

Re: PRE- TENDER MEETING- Naombeni mawazo yenu ya maelekezo

Post  Sponsored content


Sponsored content


Back to top Go down

Back to top

- Similar topics

 
Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum