Navigation
 Portal
 Index
 Memberlist
 Profile
 FAQ
 Search
October 2018
MonTueWedThuFriSatSun
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031    

Calendar Calendar

Statistics
We have 952 registered users
The newest registered user is Hasham Omar

Our users have posted a total of 1230 messages in 347 subjects
Who is online?
In total there are 10 users online :: 0 Registered, 0 Hidden and 10 Guests :: 1 Bot

None

[ View the whole list ]


Most users ever online was 49 on Fri Jul 06, 2018 7:06 am

umuhimu wa degree ya ugavi-cpsp

Go down

Re: umuhimu wa degree ya ugavi-cpsp

Post  Rutaihwa on Tue Oct 22, 2013 7:51 pm

Bw Hamidu
Pia unaweza kupitia Matangazo ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Na 364 lililochapishwa tarehe 6/11/2009, 'The Procurement and Supplies Professionals and Technicians Board Regulations,2009' na Namba 365'TheThe Procurement and Supplies Professionals and Technicians Code of Ethics and Conduct,2009 ' humo utapata mambo fulani pia ya kukusaidia

Rutaihwa

Posts : 58
Join date : 2011-09-29
Age : 51

View user profile

Back to top Go down

Re: umuhimu wa degree ya ugavi-cpsp

Post  hamidu on Mon Oct 21, 2013 5:53 am

ahsante mheshimiwa

hamidu

Posts : 2
Join date : 2013-10-13

View user profile

Back to top Go down

Re: umuhimu wa degree ya ugavi-cpsp

Post  id2013 on Thu Oct 17, 2013 7:23 pm

Hamidu,
Nakushauri mashaka yako na swali lako ulipeleke moja kwa moja kwenye website ya Bodi ya Ununuzi na Ugavi kwa kupitia website yao http://www.psptb.go.tz ambapo pia kuna forum yao kama sikosei ama kuna mawasiliano yao ya moja kwa moja. Na kama upo mikoa ya Karibu na DSM au DSM kwenyewe jaribu kuchukua muda kidogo tu uende pale ofisi zao zipo Keko Mwanga, Store Department premises na kwa sasa inajulikana kama GPSA, HUMO NDIO PIA KUNA OFISI ZA PSPTB.

Sisi humu tutakushauri ila ukielekeza swali lako PSPTB wao ndio watakupa miongozo ya kila aina kwani kuna masuala mengi ya mitaala na sheria iliyoanzisha PSPTB na kwamba unachokisikia diploma kuwa na ulinganifu na shahada utajibiwa huko kwa muda mfupi hata bila kuchelewa.

Nawasilisha.

id2013

Posts : 50
Join date : 2013-07-17

View user profile

Back to top Go down

umuhimu wa degree ya ugavi-cpsp

Post  hamidu on Sun Oct 13, 2013 8:29 pm

habari zenu,  naomba kuuliza kua eti ni kweli kua endapo utamaliza diploma ya procurement na ukienda kufanya mitihani ya psptb na kama ukimaliza pIII utakua na sifa sawa kama na degree ya procure?na kama ndio je vp ktk kutafuta ajira hilo haliwezi kusumbua? na endapo utamaliza p5 kabisa bado kutakua na haja ya kuja kusoma degree tena? samahn kwa usumbufu ila kwa mwenye taarifa ya uhakika naomba nipatiwe jibu

hamidu

Posts : 2
Join date : 2013-10-13

View user profile

Back to top Go down

Re: umuhimu wa degree ya ugavi-cpsp

Post  Sponsored content


Sponsored content


Back to top Go down

Back to top

- Similar topics

 
Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum