Navigation
 Portal
 Index
 Memberlist
 Profile
 FAQ
 Search
December 2017
MonTueWedThuFriSatSun
    123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031

Calendar Calendar

Statistics
We have 918 registered users
The newest registered user is Jamestone

Our users have posted a total of 1218 messages in 343 subjects
Who is online?
In total there are 7 users online :: 0 Registered, 0 Hidden and 7 Guests

None

[ View the whole list ]


Most users ever online was 37 on Mon Sep 04, 2017 5:41 pm

kurejewa kwa tender / re tendering proces

View previous topic View next topic Go down

Re: kurejewa kwa tender / re tendering proces

Post  RJM on Wed Aug 28, 2013 8:46 pm

RSM,

Maelezo yako yanajitosheleza na yameshiba kabisa. Tatizo kubwa ninaloliona mimi ni kwamba Taasisi nyingi huwa hawafanyi makadario zaidi ya kufanya "Guess Estimate". Na hata pale bei za wazabuni zinapokuwa juu suluhisho ni "KUPUNGUZA" bila hata jitihada za kutakujua kwanini bei za wazabuni ziko juu kuliko  za kwao. Kupunguza kunaweza kuwa na faida au hasara kwani inategemea nani anafaidika.
avatar
RJM

Posts : 257
Join date : 2009-07-30
Age : 67
Location : What is written without effort is in general read without pleasure

View user profile

Back to top Go down

Re: kurejewa kwa tender / re tendering proces

Post  RSM on Wed Aug 28, 2013 4:56 pm

Zubeir R. Zubeir,

Umeleta mada nzuri sana kuhusu suala zima la bei ya wazabuni kuwa juu ya bajeti iliyotengwa na hivyo kulazimika kusitisha mchakato wa wazabuni.

Tunaposema kuwa bei imekuwa juu ya bajeti maana yake ni kuwa Taasisi baada ya kupata zabuni ambazo ziko juu ya bajeti yao wamepititia tena bajeti iliyotengwa na kuona kuwa makadirio yao yalikuwa sahihi na kuangalia uwezekano wa kupata bajeti ya ziada kama makadirio yao yalikuwa ya chini.

Ni baada tu ya kujiridhisha kuwa bajeti iliyotengwa ilikuwa sahihi na kuwa hakuna uwezekano wa kupata bajeti ya ziada kuotoka vyanzo vingine ndio Taasisi inaweza kusitisha zabuni au kupunguza ukubwa wa kazi au idadi ya vifaa vinavyonunuliwa ili vilingane na bajeti.

Ili Taasisi ipate bajeti ya ziada itabidi itumie taratibu zote zilizowekwa na Sheria na Kanuni za fedha na kupata vibali vyote vya bugdet re-allocation au supplementary budget kama inavyotakiwa na sheria hiyo ya fedha.

RSM

Posts : 150
Join date : 2009-08-11

View user profile

Back to top Go down

kurejewa kwa tender / re tendering proces

Post  Mr.Zubeir H. Zubeir on Thu Aug 15, 2013 7:06 pm

kuna moja miongoni mwa sababu zinazopelekea kurejewa kwa tender kwa mujibu wa Act ni wazabuni kukot above extimate bajet, lakini pia kuna mawazo ya kuwa upo usawa na uwezekano wa kuchukua ktk mfuko wa suplimentaty bajet kukidhi haja ya kuendelea na zoezi la tender kupunguza gharama za utangazaji na nyengine zinazoambatana na tenda. Suala:

1: ni wakati gani nalazimika kuwa na ruhusa ya kurejea tender?
2: ni mda gani na mazingira gani napaswaa kuchukua ktk suplimentary kufanya fidia?
NAOMBA MUONGOZO

Mr.Zubeir H. Zubeir

Posts : 12
Join date : 2013-07-22
Age : 32
Location : Zanzibar

View user profile http://www.zubeironline.blogspot.com

Back to top Go down

View previous topic View next topic Back to top

- Similar topics

 
Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum