Navigation
 Portal
 Index
 Memberlist
 Profile
 FAQ
 Search
September 2017
MonTueWedThuFriSatSun
    123
45678910
11121314151617
18192021222324
252627282930 

Calendar Calendar

Statistics
We have 901 registered users
The newest registered user is stevenlyimo

Our users have posted a total of 1214 messages in 340 subjects
Who is online?
In total there are 9 users online :: 0 Registered, 0 Hidden and 9 Guests :: 1 Bot

None

[ View the whole list ]


Most users ever online was 37 on Mon Sep 04, 2017 5:41 pm

msaada plz

View previous topic View next topic Go down

msaada plz

Post  freddy.mbeyella on Tue Apr 23, 2013 4:06 pm

Anitha, majibu uliyopewa ni sahihi. Mimi ningependa kufahamu zaidi kuhusu msaada unaomba. Upo Chuo gani? Unasoma nini? Upo hatua gani? Nia ya kutaka ufafanuzi ni kukupatia msaada zaidi. Unaweza kunitumia majibu katika email yangu.
fmbeyella@tea.or.tz

freddy.mbeyella

Posts : 74
Join date : 2009-08-25

View user profile

Back to top Go down

Re: msaada plz

Post  ALLY MUNIR on Tue Apr 02, 2013 11:22 pm

Nadhani dada Anitha umemjibu vizuri tuu!! ila kwa msaada zaidi kama hana uwezo wa kupitia hard copy ya Public Procurement Act; pia anaweza kuipata kwny wbsite ya PPRA na kuweza kuisoma kwa umakini zaidi na kuifaham vizur nini PPRA na ni nini madhumuni yake!!

ALLY MUNIR

Posts : 2
Join date : 2013-04-02
Location : Dar es Salaam

View user profile

Back to top Go down

Re: msaada plz

Post  Rutaihwa on Wed Mar 06, 2013 1:59 pm

Anitha
Kama nitakuwa nimekuelewa PPRA unamaanisha PUBLIC PROCUREMENT REGULATORY AUTHORITY yaani kwa Tanzania. Hii ni Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma hapa nchini ambayo ukisoma Sheria ya Ununuzi wa Umma Namba 21 ya Mwaka 2004 "Part II Section 5 inaieleza hiyo PPRA.
Hivyo basi kama ulikuwa unamaana nyingine kwa Vifupisho ulivyoandika vya PPRA naomba utupatie kirefu chake ili tuweze kusaidiana.
kakore anita wrote:samahani ndugu watanzania,mimi ni mwanachuo wa taasisi fullani hapa nchini kwetu,nashindwa kuelewa PPRA kwa ujumla kwasababu ni somo jipya na nilikua sifuatilii kabla ya kuingia darasani,ningeomba mnieleweshe samahan

Rutaihwa

Posts : 58
Join date : 2011-09-29
Age : 50

View user profile

Back to top Go down

msaada plz

Post  kakore anita on Sun Mar 03, 2013 6:35 am

samahani ndugu watanzania,mimi ni mwanachuo wa taasisi fullani hapa nchini kwetu,nashindwa kuelewa PPRA kwa ujumla kwasababu ni somo jipya na nilikua sifuatilii kabla ya kuingia darasani,ningeomba mnieleweshe samahan

kakore anita

Posts : 1
Join date : 2013-03-03

View user profile

Back to top Go down

View previous topic View next topic Back to top


 
Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum