Navigation
 Portal
 Index
 Memberlist
 Profile
 FAQ
 Search
December 2018
MonTueWedThuFriSatSun
     12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930
31      

Calendar Calendar

Statistics
We have 956 registered users
The newest registered user is makoka tailors

Our users have posted a total of 1231 messages in 347 subjects
Who is online?
In total there are 3 users online :: 0 Registered, 0 Hidden and 3 Guests :: 1 Bot

None

[ View the whole list ]


Most users ever online was 49 on Fri Jul 06, 2018 7:06 am

UJAZAJI FOMU YA TENDA

Go down

Re: UJAZAJI FOMU YA TENDA

Post  GWK on Thu May 22, 2014 2:35 pm

[quote="Rutaihwa"]Sadikika
Kinachozingatiwa ni maelezo yaliyomo ndani ya Fomu hiyo ndio hayapaswi kubadilika. Kama ulivyoeleza kuwa hakubadilisha contents kwa hapo hakuna makosa. Hata kama utaona kuna makosa, Mimi kama mimi nitatumia GN 97 kanuni namba 90 (11) (b) kwamba hayo ni 'Minor Deviations'  ambayo hayawezi kimsingi kubadilisha msingi wa zabuni yenyewe. Naomba tupitie kifungu husika.  

[quote="sadikika"]Angalia kifungu hiki katika ITB 13.1 , "The Bidder shall complete the Bid Form furnished in the Bidding Documents. The Bid Form must be completed without any alterations to its format and no substitute shall be accepted", ITB inasema mwombaji zabuni lazima ajaze fomu amabayo ipo katika kitabu cha tender na fomu yeyote itakotumika badala ya ile haitakubaliwa, SWALI: Mzabuni amaejaza fomu nyingine (siyo ile iliyopo ktika kitabu cha zabuni) ; lakini contents/maelezo yote yaliyopo katika ile ya awali hayajabadilika, yapo vile vile, isipokuwa tu yeye amaetengeneza fomu nyingine amabyo ameweka na nembo yake au amechapa ile fomu ya bid katika ''legal paper''. JE HAPA KUNA MAKOSA AU HAKUNA, NAOMBA MSAADA WA MAELEZO.

Sadikika
Kwa upande wangu ni vema kufuata kikamilifu maelezo yaliyotolewa kwenye kabrasha la zabuni. Ukipima ukiukwaji huu wa kutengeneza fomu nyingine japo ina kila kitu kilichoainishwa inaweza kuwa "Minor Deviation" na sio "human error" ambayo huwa inapuuzwa "neglected". Kwa mujibu wa maelekezo ya namna ya kushughulikia minor deviation inaweza kuathiri zabuni yako isiwe lowest evaluated bid kwa kupigwa faini. Kwa mfano Mwongozo wa ADB kuhusu Minor deviation unasema "Minor deviations are not generally rejected, BUT are evaluated by determining the financial value of each deviation and adding it to the bid price. The evaluated bid price would be the sum of the quoted bid price plus the total of adjustments made for the minor deviations" www.afdb.org. Vilevile maelekezo ya vyanzo vingine ni "Minor deviations may be considered Substantial responsive if their further consideration assigns a monetary cost or penalty to the bid for the purpose of bid comparison"

Kutokana na maelezo yako uliyotoa na maelezo ya namna ya kushughulikia MINOR DEVIATIONS nakushauri uhakikishe unafuata maelezo yaliyomo kwenye kabrasha la zabuni kikamilifu kwa kadri utakavyoweza.

GWK

Posts : 54
Join date : 2014-03-24
Age : 51
Location : DAR ES SALAAM

View user profile

Back to top Go down

Re: UJAZAJI FOMU YA TENDA

Post  Rutaihwa on Tue Jan 22, 2013 6:43 pm

Sadikika
Kinachozingatiwa ni maelezo yaliyomo ndani ya Fomu hiyo ndio hayapaswi kubadilika. Kama ulivyoeleza kuwa hakubadilisha contents kwa hapo hakuna makosa. Hata kama utaona kuna makosa, Mimi kama mimi nitatumia GN 97 kanuni namba 90 (11) (b) kwamba hayo ni 'Minor Deviations' ambayo hayawezi kimsingi kubadilisha msingi wa zabuni yenyewe. Naomba tupitie kifungu husika.

sadikika wrote:Angalia kifungu hiki katika ITB 13.1 , "The Bidder shall complete the Bid Form furnished in the Bidding Documents. The Bid Form must be completed without any alterations to its format and no substitute shall be accepted", ITB inasema mwombaji zabuni lazima ajaze fomu amabayo ipo katika kitabu cha tender na fomu yeyote itakotumika badala ya ile haitakubaliwa, SWALI: Mzabuni amaejaza fomu nyingine (siyo ile iliyopo ktika kitabu cha zabuni) ; lakini contents/maelezo yote yaliyopo katika ile ya awali hayajabadilika, yapo vile vile, isipokuwa tu yeye amaetengeneza fomu nyingine amabyo ameweka na nembo yake au amechapa ile fomu ya bid katika ''legal paper''. JE HAPA KUNA MAKOSA AU HAKUNA, NAOMBA MSAADA WA MAELEZO.

Rutaihwa

Posts : 58
Join date : 2011-09-29
Age : 51

View user profile

Back to top Go down

UJAZAJI FOMU YA TENDA

Post  sadikika on Sat Jan 19, 2013 4:23 pm

Angalia kifungu hiki katika ITB 13.1 , "The Bidder shall complete the Bid Form furnished in the Bidding Documents. The Bid Form must be completed without any alterations to its format and no substitute shall be accepted", ITB inasema mwombaji zabuni lazima ajaze fomu amabayo ipo katika kitabu cha tender na fomu yeyote itakotumika badala ya ile haitakubaliwa, SWALI: Mzabuni amaejaza fomu nyingine (siyo ile iliyopo ktika kitabu cha zabuni) ; lakini contents/maelezo yote yaliyopo katika ile ya awali hayajabadilika, yapo vile vile, isipokuwa tu yeye amaetengeneza fomu nyingine amabyo ameweka na nembo yake au amechapa ile fomu ya bid katika ''legal paper''. JE HAPA KUNA MAKOSA AU HAKUNA, NAOMBA MSAADA WA MAELEZO.

sadikika

Posts : 4
Join date : 2013-01-19
Location : KIBAHA

View user profile

Back to top Go down

Re: UJAZAJI FOMU YA TENDA

Post  Sponsored content


Sponsored content


Back to top Go down

Back to top


 
Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum