Navigation
 Portal
 Index
 Memberlist
 Profile
 FAQ
 Search
January 2019
MonTueWedThuFriSatSun
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28293031   

Calendar Calendar

Statistics
We have 959 registered users
The newest registered user is Mfaume.Bodde

Our users have posted a total of 1232 messages in 347 subjects
Who is online?
In total there are 5 users online :: 0 Registered, 0 Hidden and 5 Guests

None

[ View the whole list ]


Most users ever online was 49 on Fri Jul 06, 2018 7:06 am

aliyerudisha zabuni ni mmoja tuu

Go down

Re: aliyerudisha zabuni ni mmoja tuu

Post  Rutaihwa on Tue May 21, 2013 9:38 pm

Jacquliline
Maswala yakuzingatia yote yapo kwenye Sheria ya Ununuzi wa Umma Namba 21 ya Mwaka 2004 na Kanuni zake GN - 97 na 98 za mwaka 2005 hata kama washindani wapo na bidhaa sokoni zipo aliyeleta ni mmoja na umetangaza kama inavyotakiwa. Sheria ipo pale pale
freddy.mbeyella wrote:Jacquliline,

Majibu yaliyotolewa na Rutaihwa, yapo sahihi kabisa. Ingawa inategemea na hali halisi. Usahihi wa jibu hilo unapaswa kuzingatia maswala mengine kama kile unachokataka kununua kipo sokoni na washindani ni wapo.


Rutaihwa

Posts : 58
Join date : 2011-09-29
Age : 51

View user profile

Back to top Go down

ALIYERUDISHA ZABUNI NI MMOJA TUU

Post  freddy.mbeyella on Fri May 17, 2013 6:40 pm

Jacquliline,

Majibu yaliyotolewa na Rutaihwa, yapo sahihi kabisa. Ingawa inategemea na hali halisi. Usahihi wa jibu hilo unapaswa kuzingatia maswala mengine kama kile unachokataka kununua kipo sokoni na washindani ni wapo.


freddy.mbeyella

Posts : 74
Join date : 2009-08-25

View user profile

Back to top Go down

Re: aliyerudisha zabuni ni mmoja tuu

Post  Rutaihwa on Thu Jan 17, 2013 4:33 pm

Jacquliline
Nimenakili majibu toka Sehemu ya majibu yanayoulizwa mara kwa mara 'FAQ' katika web ya PPRA ingawa yameandikwa kwa kingereza na tafasili yake inaweza kunishinda au sio fasaha.
Ni kwamba kwa mujibu wa kifungu 53 (3) kutokuwa na ushindani hakutegemei idadi ya Zabuni zilizopokelewa. Hivyo Kabrasha lililopokelewa inabidi lifunguliwe na kufanyiwa tathmini kuangalia kama linakidhi vigezo vya zabuni iliyotangazwa na kama maombi hayo yatakidhi thamani halisi ya mahitaji husika ikiwa ni pamoja na bei,ubora,muda,viwango nk.
ANGALIA NAKALA YA KIINGEREZA HAPA CHINI

According to Section 54(3) of the Public Procurement Act No. 21 of 2004, lack of competition should not be determined solely on the basis of the number of tenderers. This means that the received tender should be opened and evaluated to determine whether the tender is responsive to the requirements in tender documents and the offer will provide value for money in terms of price, quality and delivery time having regard to set specifications and criteria.

jacquliline wrote:tender ilitangazwa na walinunua wazabuni 6 lakini wakati wa kurudisha alirudisha mmoja tuu?je hapo kuna competition,huyo mmoja anaweza kupewa kazi mana tender yenyewe vitu vinahitajika haraka tukisema ni kuritender vinakuwa useless ushauri tafadhali


Last edited by Rutaihwa on Tue May 21, 2013 9:30 pm; edited 2 times in total (Reason for editing : KUUNGANISHA NENO NIMENAKILI NA KUANDIKA NA KUWEKA ELFI H KATIKA NENO AKUTEGEMEI)

Rutaihwa

Posts : 58
Join date : 2011-09-29
Age : 51

View user profile

Back to top Go down

aliyerudisha zabuni ni mmoja tuu

Post  jacquliline on Fri Jan 04, 2013 8:05 pm

tender ilitangazwa na walinunua wazabuni 6 lakini wakati wa kurudisha alirudisha mmoja tuu?je hapo kuna competition,huyo mmoja anaweza kupewa kazi mana tender yenyewe vitu vinahitajika haraka tukisema ni kuritender vinakuwa useless ushauri tafadhali

jacquliline

Posts : 1
Join date : 2012-12-11

View user profile

Back to top Go down

Re: aliyerudisha zabuni ni mmoja tuu

Post  Sponsored content


Sponsored content


Back to top Go down

Back to top


 
Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum