Navigation
 Portal
 Index
 Memberlist
 Profile
 FAQ
 Search
January 2019
MonTueWedThuFriSatSun
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28293031   

Calendar Calendar

Statistics
We have 959 registered users
The newest registered user is Mfaume.Bodde

Our users have posted a total of 1232 messages in 347 subjects
Who is online?
In total there are 6 users online :: 0 Registered, 0 Hidden and 6 Guests

None

[ View the whole list ]


Most users ever online was 49 on Fri Jul 06, 2018 7:06 am

Usimamizi wa mikataba?

Go down

Re: Usimamizi wa mikataba?

Post  RJM on Wed May 09, 2012 7:40 am

Revocatus,

Baada ya ufafanuzi case yako ina maswali mengi katika kesi kuliko majibu.

1. Kama jukumu la survey ni la mwajiri kupitia kwa Mhandisi Mshauri – vifungu vifuatavyo vinatoa muelekeo wa majawapo ya majibu.

14. Site Investigation Reports

14.1 The Contractor, in preparing the Bid, shall rely on any Site Investigation Reports referred to in the Special Conditions of Contract, supplemented by any information available to the Bidder.

16. Contractor to Construct the Works

16.1 The Contractor shall construct and install the Works in accordance with the Specifications and Drawings.


Kwa maneno mengine; Mkandarasi atategemea sana Site Investigation Report zinatolewa na Mwajiri kwa mantiki hii ni sehemu na kina cha kuchimba. Je kwenye mkataba Mwajiri alieleza hali halisi ya site na mitambo inayohitajika ili Mkandarasi ajue na alete mitambo inayohitajika? Je site investigation reports ilieleza nini kuhusu tabaka la chini?

2. Kwenye ripoti ya Mshauri kueleza Mwajiri kwamba uchimbaji wa kisima umeshindikana ametoa sababu zipi na nini kifanyiki ili kutatua tatizo. Naulizi hili kujua kama Mshauri anaficha madhambi yake.

3. Kitendo cha Mkandarasi kukiri kushindwa kuchimba kisima na kudemobilize kinaweze kuwa na sura mbili; kukiuka masharti ya mkataba; au kumuokoa Mwajiri asiendelee kupata hasara zaidi. Yote haya yategemea sana findings za maswali mawili hapo juu.

4. Revocatus, sura ya case hii itakuwa tofauti kabisa kama kosa litakuwa la Mwajiri kupitia kwa Mshauri wake.

Nadhani mpaka hapa umeshapata mwanga. Tutaendelea baada ya ufafanuzi kutoka kwako kuhusika hoja hapo juu.
avatar
RJM

Posts : 258
Join date : 2009-07-30
Age : 68
Location : What is written without effort is in general read without pleasure

View user profile

Back to top Go down

Usimamizi wa mikataba?

Post  Revocatus on Mon May 07, 2012 6:40 pm

[list][*] mkataba ni PPRA large contract.
[list][*] Jukumu la survey lilikuwa ni la Mwajiri kupitia mtaalam mshauri kwa maeneo yote yaliyotekelezwa kazi
[list][*] Hatua iliyopo ni mshauri kumtaarifu mwajiri kushindikana uchimabaji wa kisima hicho, sisi kama user department (water department) tunafikiria kupeleka kwenye bodi ya zabuni ili hatua zichukuliwe kulingana na maamuzi ya bodi.
[list][*] Mkandarasi kademobilize hakijua kazi haitaweza kufanyika kwa kuwa hana mitambo yenye uwezo wa kuchimba eneo hilo lingine.
[list][*] Vikao vya eneo la kazi vimefanyika kwa pamoja na mkandarasi, kakiri kuwa hawezi kwa kiasi cha fedha kilichotengwa kwenye mkataba.
[list][*] Kulingana na eneo lilivyo mtaalam mshauri anatushauri kama tutaendelea na uchimbaji kuna uwezekano wa kukosa maji.

Revocatus

Posts : 4
Join date : 2012-04-30

View user profile

Back to top Go down

Re: Usimamizi wa mikataba?

Post  RJM on Sun May 06, 2012 1:19 am

Revocatus,

Nadhani case 1 imepata majibu ya kutosha kupitia link.

Case 2 baada ya maelezo yako inazidi kunoga na hapa ndipo uelewa wa Contract Management unapokuwa muhimu. Ili kuweza kuchambua zaidi hii case naomba ufafanuzi kwenye maswali yafuatayo.

1. Ni aina ngani ya mkataba unaotumika (Form of Contract)- PPRA Smaller Contract/Medium & Large Contract or FIDIC - ni muhimu kujua masharti ya mkataba kwani - Contract is an art and not science.

2. Je jukumu la kufanya survey lilikuwa la nani? Mkandarasi au Mwajiri kupitia Mshauri? Kwa maneno mengine je Mkandarasi anatakiwa kufanya survey na kujichimba kisima?

3. Ni hatua ngani za kimkataba zimeshachukuliwa tangu tatizo hili limejulikana?

4. Kwanini Mkandarasi demobilizing?

Nadhani tutakwenda hatua kwa hatua. Nadhani Wataalamu wengine watakuwa na maswali mengine ambayo ni tofauti ya kwangu.
avatar
RJM

Posts : 258
Join date : 2009-07-30
Age : 68
Location : What is written without effort is in general read without pleasure

View user profile

Back to top Go down

Re: Usimamizi wa mikataba?

Post  Revocatus on Sat May 05, 2012 4:23 pm

[quote="RJM"]
Revocatus,

Kesi zako mbili zinafurahisha sana ingawa siyo mpya kwenye utekelezaji wa mikataba.

Case 1:[quote]Mkandarasi katoweka eneo la kazi pasipo sababu za msingi, baada ya kumsaka anataka aendelee na kazi; je kabla hatujamruhusu aendelee na kazi nini kifanye na tayari muda wake wa mkataba umemalizika na wakati huo tunaona gharama kutangaza upya na pia kubaki na mipesa mingi isiyotumika na wakati huo tukianza upya mchakato wa zabuni bei zilivyo kwenye mkataba huu lazima zitakuwa juu.Case hii itatengemea sana jinsi mkabata ulivyoandikwa kwa maana ya wajibu na majukumu ya pande zote mbili kwenye mkataba husika. Kwenye forum hii tulishawahi kuwa case inayofanana na hii. Fuatilia hii link na kama utakuwa maswali zaidi ruska kuuliza. http://ppra.forumotions.net/t27-contractor-abandoning-the-works.

Very Happy Nashukuru sana kwa kurespond kwenye mada nilizowasilisha; this forum is very helpfull to me! kwa sasa najifunza mengi ambayo nilikuwa siyafahamu.

Case 2:
Mkandarasi kajitahidi kukutekeleza kazi lakini mwisho wa siku anakutana na hali ambayo sehemu ya kazi haiwezi kuitekeleza na sisi wenyewe tukichunguza tunaona ni sahihi awezi, mkataba tunaufunga vipi? Je itabaki mkandarasi kashindwa kazi au tunakubaliana nae anachukua kilicho chake?

Ni vigumu kujibu swali hili. Labda ueleze nini kilitokea kwenye mkataba huu. Swali ni kwanini hiyo hali haikuchunguzwa kabla ya mkataba kuanza? Ni hali ya aina ngani hiyo?

Idea Hatua ya awali ilifanyika survey ya maeneo yote ambayo mradi ungetekelezwa, ikiwa ni pamoja na eneo hilo hili lililoshindikana kutekelezwa kazi kwa mujibu wa mktaba. Baadae ndio process za kutangaza na kumpata mkandarasi zikaanza, lakini kazi hii pia tunasaidiwa na mtalaam mshauri ambae nae kakiri mkandarasi wetu hawezi kutekeleza kazi. Infact kazi yenyewe ni uchimbaji wa visima; kati ya visima vilivyotamkwa kwenye mktaba ni kimoja tu ndio kilichoshindikana kuchimbwa kutokana na eneo lilivyo na aina ya udongo (hardrock). Imeonekana kuchimba katika eneo hili linahitaji mitambo mikubwa na wakati huo gharama za usafirishaji wa mitambo ni kubwa kiasi kwamba mkandarasi amesema hawezi na itakuwa hasara kwake otherwise tureview gharama za mkataba, to date mkandarasi ameshademobilize vifaa vyake na muda wa mkataba umekwisha, sasa me najiuliza kama hali ndio hii, tunaona hatuwezi na kuendelea na chochote mktaba tunaufunga vipi? wakati huo fedha za kisima hiki kwa mujibu wa mkataba zipo tunazo namaana kwamba hatujamlipa mkandarasi kwa kazi asiyoifanya.


Revocatus

Posts : 4
Join date : 2012-04-30

View user profile

Back to top Go down

Re: Usimamizi wa mikataba?

Post  RJM on Fri May 04, 2012 11:12 pm

Revocatus,

Kesi zako mbili zinafurahisha sana ingawa siyo mpya kwenye utekelezaji wa mikataba.

Case 1:
Mkandarasi katoweka eneo la kazi pasipo sababu za msingi, baada ya kumsaka anataka aendelee na kazi; je kabla hatujamruhusu aendelee na kazi nini kifanye na tayari muda wake wa mkataba umemalizika na wakati huo tunaona gharama kutangaza upya na pia kubaki na mipesa mingi isiyotumika na wakati huo tukianza upya mchakato wa zabuni bei zilivyo kwenye mkataba huu lazima zitakuwa juu.

Case hii itatengemea sana jinsi mkabata ulivyoandikwa kwa maana ya wajibu na majukumu ya pande zote mbili kwenye mkataba husika. Kwenye forum hii tulishawahi kuwa case inayofanana na hii. Fuatilia hii link na kama utakuwa maswali zaidi ruska kuuliza. http://ppra.forumotions.net/t27-contractor-abandoning-the-works.

Case 2:
Mkandarasi kajitahidi kukutekeleza kazi lakini mwisho wa siku anakutana na hali ambayo sehemu ya kazi haiwezi kuitekeleza na sisi wenyewe tukichunguza tunaona ni sahihi awezi, mkataba tunaufunga vipi? Je itabaki mkandarasi kashindwa kazi au tunakubaliana nae anachukua kilicho chake?

Ni vigumu kujibu swali hili. Labda ueleze nini kilitokea kwenye mkataba huu. Swali ni kwanini hiyo hali haikuchunguzwa kabla ya mkataba kuanza? Ni hali ya aina ngani hiyo?


avatar
RJM

Posts : 258
Join date : 2009-07-30
Age : 68
Location : What is written without effort is in general read without pleasure

View user profile

Back to top Go down

Usimamizi wa mikataba?

Post  Revocatus on Mon Apr 30, 2012 10:35 pm

Napenda kufahamu kwa wale mnaofahamu sheria za manunuzi na usimamizi wa mikataba; Pale inapotokea case zifuatazo tunafanya nini:-
[list=1][*] Mkandarasi katoweka eneo la kazi pasipo sababu za msingi, baada ya kumsaka anataka aendelee na kazi; je kabla hatujamruhusu aendelee na kazi nini kifanye na tayari muda wake wa mkataba umemalizika na wakati huo tunaona gharama kutangaza upya na pia kubaki na mipesa mingi isiyotumika na wakati huo tukianza upya mchakato wa zabuni bei zilivyo kwenye mkataba huu lazima zitakuwa juu.
[list=1][*] Case 2 mkandarasi kajitahidi kukutekeleza kazi lakini mwisho wa siku anakutana na hali ambayo sehemu ya kazi haiwezi kuitekeleza na sisi wenyewe tukichunguza tunaona ni sahihi awezi, mkataba tunaufunga vipi? Je itabaki mkandarasi kashindwa kazi au tunakubaliana nae anachukua kilicho chake?

Revocatus

Posts : 4
Join date : 2012-04-30

View user profile

Back to top Go down

Re: Usimamizi wa mikataba?

Post  Sponsored content


Sponsored content


Back to top Go down

Back to top


 
Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum