Navigation
 Portal
 Index
 Memberlist
 Profile
 FAQ
 Search
January 2019
MonTueWedThuFriSatSun
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28293031   

Calendar Calendar

Statistics
We have 959 registered users
The newest registered user is Mfaume.Bodde

Our users have posted a total of 1232 messages in 347 subjects
Who is online?
In total there are 4 users online :: 0 Registered, 0 Hidden and 4 Guests

None

[ View the whole list ]


Most users ever online was 49 on Fri Jul 06, 2018 7:06 am

MAKABRASHA YA KISWAHILI

Go down

Re: MAKABRASHA YA KISWAHILI

Post  Rutaihwa on Thu Mar 15, 2012 5:50 pm

Wana Ununuzi na Ugavi/Jamii
HONGERA PPRA KWA KUTOA MIONGOZO NA MAKABRASHA YA KISWAHILI NI JAMBO JEMA LA KUWAPONGEZA AHASANTE SANA, KITU CHA MUHIMU NI KUYATUMIA NA KUISAIDIA JAMII KUIELEWA SHERIA YA UNUNUZI PAMOJA NA MAKABRASHA HAYO ILI KUONGEZA NAMBA YA WASHIRIKI KATIKA UNUNUZI WA UMMA.

Rutaihwa

Posts : 58
Join date : 2011-09-29
Age : 51

View user profile

Back to top Go down

Re: MAKABRASHA YA KISWAHILI

Post  RSM on Wed Mar 14, 2012 6:03 pm

Rutaihwa,
Uliandika
NASHAURI ILI KUONGEZA USHIRIKI WA JAMII KATIKA SHUGHULI ZA UNUNUZI PAMOJA NA UELEWA Niwakati muhafaka kwa PPRA PAMOJA NA GPSA kutengeneza makabrasha na maelekezo mengine ya ununuzi katika lugha ya Kiswahili. Aidha,uchapaji katika kiswahili itakuwa ni sehemu ya kukuza lugha ya kiswahili.

Zipo tayari nyaraka za kiswahili kwenye website ya PPRA kama ifuatavyo.
 • Mwaliko Sanifu wa Kotesheni (zabuni Ndogondogo) –Ununuzi wa Bidhaa ya Desemba, 2009.
 • Mwaliko Sanifu wa Kotesheni (zabuni Ndogondogo) -Ununuzi wa kazi ndogondogo za ujenzi ya Desemba, 2009.
 • Mwaliko Sanifu wa Kotesheni (zabuni Ndogondogo) - Ununuzi wa Huduma zisizohitaji Ushauri wa Kitaalamu ya Desemba, 2009.
 • Mwongozo wa Tathmini ya Kotesheni (zabuni Ndogondogo) –Ununuzi wa Bidhaa, Kazi ndogondogo na Huduma zisizohitaji Ushauri wa Kitaalamu ya Desemba, 2009
.
 • Nyaraka Sanifu za Uzabuni kwa ajili ya Ununuzi wa kazi ndogondogo za Ujenzi-Ushindani wa Zabuni Kitaifa ya Desemba, 2009.
 • Kiongozi cha Mtumiaji kwa ajili ya Nyaraka za Zabuni –Ununuzi wa kazi ndogondogo za Ujenzi -Ushindani wa Zabuni Kitaifa ya Desemba, 2009.


Miongozo mingine iliyoandaliwa

 • FOMU NA. 1: Barua Sanifu ya Uteuzi wa Mwenyekiti /Wajumbe wa Bodi ya Zabuni [kutoka kwa afisa masuhuli]
 • FOMU NA. 2: MAOMBI YA UNUNUZI [KWA AJILI YA KUWASILISHWA KWENYE KITENGO CHA UNUNUZI (PMU)].
 • FOMU NA. 3: Maombi ya Kuthibitisha njia ya Ununuzi/Uteuzi wa Mtaalamu Mshauri [Kwa ajili ya kuwasilishwa kwenye Bodi ya zabuni]
 • FOMU NA. 4: Maombi ya Kuidhinisha Nyaraka za Mchujo wa Awali wa Wazabuni/Washauri [Kwa ajili ya kuwasilisha kwenye Bodi ya zabuni].
 • FOMU NA. 5: Maombi ya Kuidhinishwa kwa Nyaraka za Zabuni/Maombi ya Pendekezo za Notisi ya Zabuni/Orodha Fupi [Kwa ajili ya kuwasilishwa kwenye Bodi ya zabuni]
 • FOMU NA. 6: Maombi ya Kuidhinishwa kwa Marekebisho Kwenye Nyaraka za Zabuni [Kwa ajili ya kuwasilishwa kwenye Bodi ya zabuni]
 • FOMU NA. 7A: Kumbukumbu Za Kikao Kilichofanyika Kabla Ya Kurudisha Nyaraka Za Zabuni – [Sehemu Ya Kwanza: Kumbukumbu Za Kikao Kilichofanyika Kabla Ya Kurudisha Nyaraka Za Zabuni [Maswali Na Majibu]]
 • FOMU NA. 7B: Kumbukumbu Za Kikao Kilichofanyika Kabla Ya Kurudisha Nyaraka Za Zabuni – [Sehemu ya Pili: Mahudhurio-(ijazwe na isainiwe na wote waliohudhuria kikao)]
 • FOMU NA. 8: Taarifa ya Upokeaji wa Zabuni.
 • FOMU NA. 9A: Kumbukumbu za Ufunguzi wa Zabuni-[Sehemu ya Kwanza -Mhutasari wa Ufunguzi wa Zabuni]
 • FOMU NA. 9B: Kumbukumbu za Ufunguzi wa Zabuni-[ Sehemu ya pili: Uhakiki wa Zabuni kwenye Ufunguzi]
 • FOMU NA. 9C: Kumbukumbu za Ufunguzi wa Mapendekezo ya Kitaalaamu -[ Sehemu ya tatu: Uhakiki wa Mapendekezo ya Kitaalamu]
 • FOMU NA. 9D: Kumbukumbu za Ufunguzi wa Mapendekezo ya Fedha -[ Sehemu ya nne: Uhakiki wa Mapendekezo ya Fedha].
 • FOMU NA. 10: Mapendekezo ya Wajumbe wa Kamati ya Tathimini ya Zabuni [[Kwa ajili ya kuwasilishwa kwa afisa masuuli]
 • FOMU NA. 11: Maombi ya Kuidhinisha Ripoti ya Tathimini ya Zabuni na Mapendekezo [Kwa ajili ya kuwasilishwa Kwenye Bodi ya Zabuni]
 • FOMU NA. 12: Mapendekezo ya Wajumbe wa Kamati ya Majadiliano[Kwa ajili ya kuwasilisha kwenye bodi ya zabuni].
 • FOMU NA. 13: Maombi Ya Kuidhinishwa Kwa Mpango Wa Majadiliano -[Kwa ajili ya Kuwasilisha kwenye Bodi ya Zabuni]
 • FOMU NA. 14A: Kumbukumbu ya Majadiliano-[Sehemu ya Kwanza - Kumbukumbu ya Majadiliano]
 • FOMU NA. 14B: Kumbukumbu ya Majadiliano-[Sehemu ya Pili- Kumbukumbu ya Mahudhurio]
 • FOMU NA. 15: Ombi la Kuidhinisha Matokeo ya Majadiliano - [[Kwa ajili ya kuwasilishwa kwenye Bodi ya Zabuni]
 • FOMU NA. 16: Ombi la Kuidhinishwa kwa Mapendekezo ya Kuingia Mkataba-[[Kwa ajili ya kuwasilishwa kwenye Bodi ya Zabuni]
 • FOMU NA. 17: Ombi la Kuidhinisha Marekebisho ya Mkataba-[[Kwa ajili ya kuwasilishwa kwenye Bodi ya Zabuni]

RSM

Posts : 150
Join date : 2009-08-11

View user profile

Back to top Go down

MAKABRASHA YA KISWAHILI

Post  Rutaihwa on Thu Jan 26, 2012 4:59 pm

NASHAURI ILI KUONGEZA USHIRIKI WA JAMII KATIKA SHUGHULI ZA UNUNUZI PAMOJA NA UELEWA Niwakati muhafaka kwa PPRA PAMOJA NA GPSA kutengeneza makabrasha na maelekezo mengine ya ununuzi katika lugha ya Kiswahili. Aidha,uchapaji katika kiswahili itakuwa ni sehemu ya kukuza lugha ya kiswahili.

Rutaihwa

Posts : 58
Join date : 2011-09-29
Age : 51

View user profile

Back to top Go down

Re: MAKABRASHA YA KISWAHILI

Post  Sponsored content


Sponsored content


Back to top Go down

Back to top


 
Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum