Navigation
 Portal
 Index
 Memberlist
 Profile
 FAQ
 Search
January 2019
MonTueWedThuFriSatSun
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28293031   

Calendar Calendar

Statistics
We have 959 registered users
The newest registered user is Mfaume.Bodde

Our users have posted a total of 1232 messages in 347 subjects
Who is online?
In total there are 4 users online :: 0 Registered, 0 Hidden and 4 Guests

None

[ View the whole list ]


Most users ever online was 49 on Fri Jul 06, 2018 7:06 am

Hongereni kwa kutuwezesha kujadiliana kiswahili

Go down

Re: Hongereni kwa kutuwezesha kujadiliana kiswahili

Post  GWK on Thu Mar 01, 2018 9:43 pm

RSM Nyaraka za kiswahili ziko wapi nazitafuta sizioni.
Kama bado zipo kwa kweli ni za muhimu sana nifahamisheni. Jamii yetu ya Tanzania inazihitaji sana

GWK

Posts : 54
Join date : 2014-03-24
Age : 51
Location : DAR ES SALAAM

View user profile

Back to top Go down

Re: Hongereni kwa kutuwezesha kujadiliana kiswahili

Post  Rutaihwa on Thu Sep 29, 2011 5:41 pm

RSM wrote:Kwanza naomba niipongeze PPRA kwa kuanzisha majadiliano ya ununuzi katika sekta ya umma kwa kutumia kiswahili. Kuna wadau wengi ambao walikuwa wanapenda kuchangia lakini tatizo ilikuwa ni lugha.

Niliwahi vile vile kuingia kwenye tovuti ya PPRA ambapo nilikuta nyaraka za zabuni kwa kiswahili.

Haya ni maendeleo mazuri. Wadau tuwapongeze PPRA kwa kazi yao nzuri.


Nami pia naunga mkono ,suala hili ni jema sana.

Rutaihwa

Posts : 58
Join date : 2011-09-29
Age : 51

View user profile

Back to top Go down

Re: Hongereni kwa kutuwezesha kujadiliana kiswahili

Post  mauka on Wed Aug 17, 2011 8:46 pm

Kwanza, Nami niwapongeze PPRA,kwa kazi nzuri wanayoendelea kuifanya hasa hasa katika utumiz wa kiswahili katika ununuzi wa bidhaa. Ni ukweli uliodhahir kuwa matumiz ya kiswahili katika nyaraka mbalimbali kama tulivoona katika nyaraka za zabuni. Siyo tu kwamba inaongeza uelewa zaid miongon mwa wahusika bali pia inarahisisha mawasiliano dhidi ya wadau na watumishi.

Kwaio, nikiwa mtaalamu na mdau wa ununuzi, ni matarajio yangu pamoja na wadau wengine katika tansia hii ya ununuzi kuona ata sheria yetu ya manunuzi pia inafata mkondo uwo.

mauka

Posts : 24
Join date : 2010-05-15

View user profile

Back to top Go down

Hongereni kwa kutuwezesha kujadiliana kiswahili

Post  RSM on Mon Aug 15, 2011 5:05 pm

Kwanza naomba niipongeze PPRA kwa kuanzisha majadiliano ya ununuzi katika sekta ya umma kwa kutumia kiswahili. Kuna wadau wengi ambao walikuwa wanapenda kuchangia lakini tatizo ilikuwa ni lugha.

Niliwahi vile vile kuingia kwenye tovuti ya PPRA ambapo nilikuta nyaraka za zabuni kwa kiswahili.

Haya ni maendeleo mazuri. Wadau tuwapongeze PPRA kwa kazi yao nzuri.


RSM

Posts : 150
Join date : 2009-08-11

View user profile

Back to top Go down

Re: Hongereni kwa kutuwezesha kujadiliana kiswahili

Post  Sponsored content


Sponsored content


Back to top Go down

Back to top


 
Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum